Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

Naibu Katibu Mkuu CHADEMA, Salum Mwalimu, yupo wapi?

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Ni muda toka nimemsikia Salum Mwalimu;

Yupo wapi? Hasikiki wala haonekani kwenye media.

Ukimpata. Nijulishe

Mpe heh,

====================

Ni wiki takribani ya tatu sasa huyu Kamanda hajaonekana wala kusikika kwenye media. Tofauti kabisa na tabia yake ya asili. Bara hayupo na wala kule Zenji hayupo.

Ni jukumu la watumiaji wa mitandao kufahamishwa nini kimemsibu huyu Kamanda. Naona ile tabia ya John Mnyika imeanza kumnyemelea. Soon ukweli utajulikana
 
Mnamjibu mkimbizi asiyejua baada ya 25 Oct atakuwa wapi. Mwacheni ugonjwa wa moyo tayari ila hatapelekwa India maana CCM itakuwa imetoka madarakani
 
Ni muda toka nimemsikia salum mwalimu;

yupo wapi?? Hasikiki wala haonekani kwenye media.


Ukimpata. Nijulishe

mpe heh,

Huyu jamaa yeye safari wanatumika kuziba ukanda na udini lkn waislam wamestuka baada ya kupiga kura wanarudi majumbani hawalindi kura wanafata maagizo ya viongozi wao e dini
 
Ni muda toka nimemsikia salum mwalimu;

yupo wapi?? Hasikiki wala haonekani kwenye media.


Ukimpata. Nijulishe

mpe heh,

Yuko Zanzibar
Huko ni Mpera Mpera Mwanzo Mwisho
 
Mtu hata haangalii taarifa za habari alafu anakuja kukurupuka na kathread kake uchwara.
Mkuu huyu anaangalia Taarifa za Habari lakini ni za TBC na StarTV vituo ambavyo havionyeshi mikutano ya UKAWA hivyo kamwe hawezi kujua kama Salum Mwalimu yupo.
 
Mgeja nae kala Fedha alizotumwa kusambaza kwenye Taasisi zenye ushawish then kaingia mitini. Ukikosa pesa ya Lwaigan ni uboya wako!
 
Yupo unguja anajimbo anagombea niliona mabango yake unguja mjini
 
Namtafuta Sabodo, mtu mstaarabu na muelewa.
 
Mambo magumu; mbona ;
mbeya hajaonekana
 
yupo kamanda anagombea jimbo la kikwajuni kwa sasa anakokoa kokoa CCM waliobakia Zanzibar
 
Back
Top Bottom