Naibu kanyegeka

No, not at all. kule kutamka neno NYEGE, ni dhambi kubwa sana! Hata ukiwa ugenini, hapana. Swali unaweza kutamka NYEGE mbele ya baba yako, wakwe zako and the like kuwa eti ni ugenini siyo Bungeni? NO!
Kaimba na kuserebuka ugenini[emoji23][emoji23][emoji23]no offense
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Huu ujumbe nimeuona sana leo sijui kuna nini
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
I
I am THE BASATA ,BASATA are Outdated - TID Mnyama.
 
Nyege nyege nyegezi kumbe imebamba mpaka kwa yule tulia hahaha kama unataka kujua mambo yake mshana Jr muoneshe kipindi akiosha gari huku akicheza ndani ya tight.😀😀😀😀😀
 
Nyege nyege nyegezi kumbe imebamba mpaka kwa yule tulia hahaha kama unataka kujua mambo yake mshana Jr muoneshe kipindi akiosha gari huku akicheza ndani ya tight.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah...! [emoji85]ladha yake nyama tupu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23]
 
Mahitaji ya nyakati... Mbele kwa mbele ya Dr Remmy.. usirudi nyuma KUNDUchi[emoji23]
 
Mwacheni mtoto wa kike ajirushe. Maisha yenyewe mafupi, na hasa ukizungukwa na mijidume ambayo saa zote inawaza kesho imtumbue nani!
 
Hata simjuwagi......
Ni hako kalikovaa condom nyeusi na uzi wa nchi yetu?

Duh hiyo sura!
 
Hata simjuwagi......
Ni hako kalikovaa condom nyeusi na uzi wa nchi yetu?

Duh hiyo sura!
[emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…