Naibu kanyegeka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,439
Reaction score
872,036
Wala hastahili lawama, pamoja na kupotoka kwenye leadership ethics lakini hiki si kipindi cha mchonga... A conservative man full of ethics and leadership morals... FULLY...!!! .
Umri na matumizi ya nyakati vimembeba... After all she is too busy to know what is going around with BASATA n the like... Hivyo....
Kafika ugenini, kafurahishwa kafurahi kawekewa nyegezi... Anyone in this life can vibe! What is BASATA anyway... After all pale sio bungeni zaidi sio Tz.. Kanyegeka
 
No, not at all. kule kutamka neno NYEGE, ni dhambi kubwa sana! Hata ukiwa ugenini, hapana. Swali unaweza kutamka NYEGE mbele ya baba yako, wakwe zako and the like kuwa eti ni ugenini siyo Bungeni? NO!
 
Aiseee Dr Tulia tucheze wote tunyegezane nikajisifu kwa Lema kama nimenyegezika nawe.😉😆😆


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kwa kweli lakini labda wavukie kivuko cha kamanga maana wakivukia usagara hawatafika NYEGEZI na kumbuka NYEGEZI ni muhimu sana kufika ili kuchagua usafiri gani wa kutumia
Nyegezi ndiyo city center,hata wakichelewa kivuko watalala KUMALIJA pale vyumba havijai.
 
Bonge la wimbo...ngoja niupakie hapa anayehitaji ajipakulie...
 
Kwani unafikiri chuo saut kiko karibu na wapi kama sio nyegezi... kuna nyegezi kona na kuna nyegezi stand ya mabasi... ni jirani kabisa na chuo cha saut
Kama ni SAUT ni kweli iko Malimbe Karibu na Sweya na nyegezi.. Ila Sauti na nyengezi hizo hazipo nchi hii.
 
Siwezi kuwalaumu wabunge sababu enzi zao walicheza Muogo wa jang'ombe ya Bi kidude na nyimbo ya Mwanahela anauliza "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani".

Mimi nipo hapa na sikiliza wet dream ya J. Cole na kwenye maradio inapigwa au hukusikia verse ya Nonini ktk nyimbo ya Nibebe aliyoshirikishwa na Nyota ndogo na ilikuwa inapendwa sana na kupigwa sana kwenye radio.

Sometimes huwaga najiuliza hivi ni maadili gani ambayo serikali wanayataka, hapo hujamsikiliza Issa Matona au ndio maisha bila unafiki hayaendi.
 
Kwa hiyo na wewe kwa akili yako umelizika kuwa umeandika sasa.... [emoji44][emoji44][emoji44][emoji75][emoji75][emoji81][emoji81][emoji33][emoji33]
Kama ni SAUT ni kweli iko Malimbe Karibu na Sweya na nyegezi.. Ila Sauti na nyengezi hizo hazipo nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…