Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
Habari za leo wakuu. kama heading inavyojieleza, najua Watanzania wapo waliosomea na kubobea katika hilo, hivyo basi mwenye ujuzi na utaalamu wa kile nnachokihitaji nnaomba tuwasiliane tafadhali, hii itajumuisha na kunidesignia logo ya hiyo site. Natanguliza shukrani.