proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,468
- 1,329
Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa.
NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.
NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.