Idrisajr
Member
- Jan 15, 2018
- 7
- 7
Habari wana JF na wapenzi wa movies
Tasnia yetu imekuwa na matatizo mengi kwa upande wa utengenezaji filamu lakini wengi wetu hatujajua tatizo ni nini.
Lakini tatizo kubwa ni mapato yanayoingia kupitia filamu hizo ikifuatiwa na wawekezaji. Kwa Tanzania sijaona hiyo kitu kampuni au mtu binafsi kuwekeza kwenye movie ya mtu na hii inatokana na kuhofia hasara kwani unakuta unatengeneza movie kwa gharama ya millioni 20 (mfano) na ukija kuiingiza sokoni inaingiza millioni 10 (mfano).
Naamini hamna mtu anaependa hasara na ndio maana movie zetu zimekuwa ni za hali ya chini sana. Tumeichoka hali hii lakini je tunachukua hatua gani kutoka hapa tulipo na kutengeneza movie zinazoeleweka?
Naamini wengi mtajiuliza kuna haja gani ya kuwekeza20 ili upate 10 hiyo ni ndoto lakini ukumbuke kuwa hakuna atakae wekeza kwenye project mbovu au isiyo na ubora kwahiyo nini kifanyike ili tuweze kumshawishi huyo muwekezaji awekeze kwenye tasnia ya filamu tz.
Tunarudi pale pale kuwa ni lazima ufanye kitu kizuri ili uweze kuwavutia watu.
Naamini kidole ki1 hakivunji chawa hivyo wale wenye idea na vitu hizi wanichek naamini kwa pamoja tunaweza kufanya kitu
vfx editor
locations manager
matte painter
sound editor/creator
kama unajua kutumia hizi prog pia ni msaada
after effects
nuke
Maya
blender
cinema 4d
premiere pro
Photoshop
side fx
eyeon fusion
pf track
....................................
Idris - 0684842325
Telegram
Thats my Idea