Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,929
😂😂😂Ni chuo cha swamaki ....wanyama pori.... upishi..ufundi au mambo ya mpalangeh🙂
😂😂😂Ni chuo cha swamaki ....wanyama pori.... upishi..ufundi au mambo ya mpalangeh🙂
bora umewajua wanajf .watataka wakipopoe weee...🚮Ndio mkuu naogopa sana WATANIIBIA chuo changu wakipeleke makambako iwe ngumu kukitafuta tena
Asante na ndio nawatafuta hivi ndgSambaza fomu kwa walimu, wanafunzi, ma-jobless n.k; uwaambie hela za fomu watakazopata ni za kwao. Ikiwezekana zama mpaka huko wilayani n.k
Nawafajamu mkuubora umewajua wanajf .watataka wakipopoe weee...![]()




Hizi ndo hasira zenye tijaWewe dada ni mkali sana ila mimi sikuogopi lazima nilete wanafunzi utake usitake.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Fara kweli wewe
wewe ndo unatakiwa urudi shule anayoitangaza lady focus...hujui hata kuandika mbweha mweusi weweFara kweli wewe