Wakuu habari gani?
Nahitaji vyuma vya mazoezi vya size ndogo kwa ajili ya kukimbia navyo(Dumbells), alie navyo naomba aje PM.
Viwe na uzito sawa na si zaidi ya kilo 5 kwa kila kimoja.
Asanteni