Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

kivulini

Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
73
Reaction score
41
Wakuu habari zenu,

Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia kama yupo anayefaham brand nzuri zaidi na imara tafadhali naomba mrejesho.

Pia ninahitaji vya kukaa pia kwa yeyote anayejua brand nzuri nitashukuru.
 
Unataka vya used au vipya mkuu?
 
Grohe, geberit, castleware, cotto, hizi zote ni brand nzuri ila bei yake kidogo imechangamka
 
Vinapatikana wapi

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
kuna maduka mengi tu brother nenda spanish tiles pale victoria, line hiyo hiyo kuna duka lina bango kubwa la grohe na duka lingine ni dar ceramica haya yapo kariakoo na njia ya kawe mbele kidogo ya clouds kama upo Dar es salaam .
 
Asante mkuu

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Nenda dar ceramic....samora pale karibia na j mall ndio wapo hao jamaa
 
Mimi natafuta hiki kama kinavyo onekana kwenye hii picha ,sijajua vinapopatikana ,mwenye kujua location msaada please
JamiiForums1363417161.jpg
 
Back
Top Bottom