Nahitaji Vitz in good condition, Nina 6m

Nahitaji Vitz in good condition, Nina 6m

Asanteni, mnaonishauri kuagiza Japan, budget yangu ni 6m to, itawezekana kweli

Wee weee.. watch out.. hakuna gari utaweza agiza from Japan na kulipia ushuru kwa 6M.. hakunaa...!! Sio leo hii.. ingekuwa kabla ya UCHAGUZI LAST YEAR labda..tena nasema labda..!! sbb dollar imepaa sana na Taxes zote za importation ziko in dollars kisha wana convert in Tshs.. utalia weee..

Hakuna ushuru wa gari TRA chini ya 4 M.. hapo bado CIF yako, Clearing agent, Insurance, plate number etc...!!

Hiyo haitoshi hata kidogo..

Kwa uzoefu wangu hiyo hela haitoshiii nina uhakika kwa 1000%.. hata kule uchukue VITS kwa $ 500 hiyo hela yako haitoshi.. 6M ni kama $ 2,727..
Hapo TRA lazima wale $ 1,900 hv kodi...!!

utalia wewee.. nunua gari hapa..!! Kweli nakwambia.. shauri yako
 
Agiza Be Forward mpaka TZ na Ushuru ni 5.5 but takes 14-30 days

Pasco

Wee Pasco... muingize mwenzako mkenge.... hilo sio kweli..!! Utamtia hasara mwenzako ww... hakuna gari sasa hv utaagiza hadi kutoa kwa 5.5 M... hakuna..!!
 
Kwahiyo kama unatala kuanga vitz toka japan bila stress bajet yk isipungue 8Mil
 
Back
Top Bottom