Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Waungwana natumaini hamjambo!
Nimefanikiwa kwenye zoezi la Rosella wine na Jumapili tumeionja na marafiki zangu imekkuwa safi sana. Changamoto nilokutana nayo ni kukosa chombo cha kupimia alcohol contents kwenye liquid (Alcohol meter). Mwenye kujua hiyo kitu inapopatikana anisaidie ...
Pili, vifungashio vyenye seal - vinapatikana wapi?
Naomba mwenye kujua hayo maneno anisaidie.