Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,493
- 2,366
Kwanza natunguliza shukrani za dhati kwa jukwaa hili pamoja na wadau wake wote kwa ujumla kwani limenisaidia sana, biashara zangu zote nazofanya nilianza kuja kwanza hapa kwenye hili jukwaa nikapata ushauri namna ya kuanza na sasa naendelea vizuri.
Leo nimekuja kivingine, nauliza wapi napata majora ya vitambaa vinavyotumika kutengeneza (kushona) vyandarua.
Natanguliza shukrani kwenu wadau nikiamini nitapata msaada tena kwa mara nyingine kwani hamjawahi kuniangusha