Chishango
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 875
- 363
Wadau kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali ambapo ninaweza kupata hizo sheets maalumu kwa ajili ya ujenzi wa solar driers. Material hizi ni karatasi za nailon ngumu (5mm) ambazo zinapitisha mwanga
Ninazihitaji haraka, kwa yeyote anayeweza kunisaidia kuzipata aje PM
asanteni waungwana
Ninazihitaji haraka, kwa yeyote anayeweza kunisaidia kuzipata aje PM
asanteni waungwana