Nahitaji Visa ya Uturuki (Turkey), nifanye nini?

Nahitaji Visa ya Uturuki (Turkey), nifanye nini?

akamik

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
24
Reaction score
4
Habari ya jioni wanajamvi,

Naombeni msaada nahitaji visa ya matibabu Uturuki. Vitu gani hasa vinahitajika ili nisije nikakosa na pia kunaugumu kiasi gani wakupata visa katika iyo nchi?

Asanteni.
 
Sasa hata husemi unataka kwenda kufanya nn,

Haya Visa Ya matibabu ni bure nenda ubalozini kachukue uende
 
Back
Top Bottom