Nahitaji viroba vya unga vya Kg 25 vilivyotumika

Nahitaji viroba vya unga vya Kg 25 vilivyotumika

raxx

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
326
Reaction score
284
Kichwa hapo juu kinajieleza wakuu. Nanunua Tsh. 300 kwa kiroba, njoo tufanye biashara, nipo Shinyanga
 
Hata vipya unapata kwa bei hiyo soko kuu Mwanza.
 
Kichwa hapo juu kinajieleza wakuu. Nanunua Tsh. 300 kwa kiroba, njoo tufanye biashara, nipo Shinyanga
Ninavyo hivyo viroba vya kilo 25 lkn vilikuwa vya gysum Ni visafi Kabisa vilikuwa vya Good one gysum
 
Back
Top Bottom