Nahitaji vifungashio vya kuwekea unga wa lishe, na bidhaa zinazotokana na mimea.
Pia nahitaji mtu anayeweza kunitengenezea vibox vidogo vya sabuni.
Kwa maana kwambavifungashio ambavyo vina ubora wa bidhaa kuuzika supermarket
Kama unahusika na lolote hapo ni pm. navihitaji haraka sana.
CC.
lady furahia