Vifungashio vinauzwa

sillybzzy

Senior Member
Mar 13, 2014
199
225
Tunauza vifungashio vya bidhaa kama vya Sabuni,Rotion,Jam,Pinut butter,Shampoo,Unga nk.printing pia ipo.Darasa linaendeshwa online through Whatsup group no.+255 713262188 kwa Ada ya 10,000/= na kwawale walio ktk group na wanahitaji Mwl.watafundishwa live kwa cost ya 20,000/=@kila siku saa 2 usiku mpaka tunamaliza list elekezi,kisha tutaendelea na darasa la vitu vingine na kama kunawatakaohitaji darasa kurudiwa watapanga mda wa mchana ili wasigongane na darasa la usiku.
Kwa mawasiliano zaidi call +255 629 683560.

DARASA LA UJASILIA MALI LINAENDELEA PIA DARASA JIPYA LINAANZA 10-6-2017.
Yafundishwayo:-
_Mafuta ya mgando,
_Peanut butter,
_Mishumaa ya mbu,
_Sabuni ya unga,
_Sabuni ya maji ya kufulia,
_Sabuni ya maji ya chooni,
_Unga lishe kwa waathirika HIV,
_Mafuta ya nazi,
_Achali ya embe,
_Supu kwaajiri ya wagonjwa yenye maboga+viazi vitamu+maini+ngano.
_Jamu ya matunda
_Bagia za njegere.
 

OckyT

Member
Jun 7, 2017
52
125
Naweza kupata vifungashio vya tomato sauce Lita 1?? Na mnauzaje kama vipo???
 

sillybzzy

Senior Member
Mar 13, 2014
199
225
Karibuni sana tujikwamue kwa ujasiliamali tukufundishe,tukusajiri na tukushauri na hata tukuelekeze mpaka upate damu ya kijasiliamali. Amka Mtanzania kwa wanaohitaji darasa acha namba.
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,050
2,000
Tatizo ni kuwa bidhaa zenu ni low quality na chafu sana maana hamjali mtumiaji mnaangalia hela tu
 

sillybzzy

Senior Member
Mar 13, 2014
199
225
Kwa wanafunzi njooni whatsup na ktk calls tupeane updates cuz tarehe 10 ndio darasa jipya linaanza nikuunge kwenye group la darasa,
Asante.0713262188,0629683560
 

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,615
2,000
Kwa wanafunzi njooni whatsup na ktk calls tupeane updates cuz tarehe 10 ndio darasa jipya linaanza nikuunge kwenye group la darasa,
Asante.0713262188,0629683560
Ni Mimi sijaelewa?? Au vipi!!! Unauza vifungashio???darasa la nini?
Unafundisha nini?
 

sillybzzy

Senior Member
Mar 13, 2014
199
225
Ni Mimi sijaelewa?? Au vipi!!! Unauza vifungashio???darasa la nini?
Unafundisha nini?
Katika darasa sio wote wanauwezo sawa wa kuelewa kwa wakati mmoja ila kifupi tu, Tunauza vifungashio vya bidhaa na ili mteja awe na ujasili wa bidhaa yetu ktk matumizi yake tunamfundishà utengenezaji wa bidhaa na jinsi ya kupack ikiwemo kuibrand na kuipa Logo kwa pamoja ww ukijakwetu ni mjasiliamali tena wa ndani na nje ya nchi huku ukiwa umetimia na kujiamini kibiasharà, karibu tukuelimishe jinsi ya kuwa na kiwanda kidogo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom