Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

Kwenye mkeka hiyo tunaita ni BOTH TEAMS TO SCORE, kiujumla wewe na huyo mume wa huyo mwanamke madishi yenu yameyumba, unakomaa na demu ambae anatoka na jamaa lililooa? Acha utani mkuu, kanisani huko tunaombewa tujitokeze kama upepo wa kisulisuli halafu wewe unamkazia msuli mala.ya
Huyo dogo ni mjinga sana aisee!
1. Yaani anachezea moto mkali kwa mke wa mtu?

2. Yaani anajua demu analiwa na jamaa, lakini eti anataka ushauri tena!!??? Aisee wajinga ni wengi sana.
Sijui anataka agundue nini? Eti nime-prove kaliwa na jamaa!

Kwangu mimi siyo hadi nikufumanie,wala ku-prove unatoka na nani!

Dalili tu za kucheat nakuacha mapema sana. Kama akiwa ni mke wangu nikijua hilo tu unakwenda kwenu na ukigoma, unakwenda kwa kipigo cha mbwa koko au utaziona gunia mbili za mkaa najua utasepa tu.

Ke wako kibao mtaani na kazini na makanisani wamesubiria upepo wa kisulisuli, wewe unakosa raha kisa ka mwanamke kamoja.

Pumbaaavu kabisa.
 
Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.

Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.

Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.

Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.

Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.

Kiukweli huyu binti nampenda sana.

Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?

Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.

Naomba ushauri wako.
Yaani Hapo umefanya a Very right revenge..la msingi achana na huyo dem wako tafuta bebe nyingne..mzee usiteswe na mapenzi mzee hasa kama wewe ni muhangaikaji na unatengeneza mkwanjwa wako mzuri tu..mapenzi yawasumbue ma marioo na college guys..madem wapo wengi na wenye adabu wakipata bbwana
 
Nashukuru sana

Unaweza ukacoment upendacho ila kila binadam anatabia zake mimi sio jinga la mtaani huebda ata apo ulipo bila mimi kufanya majukumu yangu sahihi wew usingekoment hayo...heshimu mawazo ya mtu usitus...
 
Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.

Kiukweli huyu binti nampenda sana.

Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Kuna cha kujifunza hapa.

Mi naona Ni uchafu tu hapo na Kama magonjwa mmesha ambukizana Ni utoto huo
 
Hapo kilichopo ni kutengeneza ndoa ya watu wa nne. Wanawake wawili na wanaume wawili, kwa sababu wewe huwezi kuachana na mke wa jamaa na jamaa hawezi kuachana na dem wako.
Mkuu kwahiyo wakubali tu kushare
 
Utakuwa na matatizo makubwa ya kimahusiano wewe jamaa. Tangu ujiunge humu nyuzi zako ni za vilio vya mapenzi tuu. Yani unaonekana uko too hopeless kwenye mambo ya kimahusiano.

Hata mwanamke atakayekuwa na wewe inabidi awe ni type ya wale walokata tamaa ya kupata mtu mwenye staha zake. Type ya wanawake wanaokufaa wewe ni wale wanaotegemea upepo wa kisulisuli.

Cc: Unforgetable

Sasa ulitaka aandike kuhusu ni... ndorobe weweee au ulitaka auandike mkuyenge wko 🤣🤣🤣🤭 JF buana.
 
Daah mkuu una moyo mgumu Kama chuma,

Unaanzaje kuongea na jamaa lililokula
Tamu yako,
Alafu huyo mwanamke anakulaumu kwa ulichokifanya, kwahiyo alichofanya yeye ni kawaida

Jitahidi uachane na huyo mwanamke, Hana tofauti na m*****ya hata ukimsamehe lazima atarudia.

Mpende akupendaye asiye kupenda achana nae, hiyo Ni dalili tosha Kama hakupendi, hata ukiendelea nae, mbele utapata tabu sana,
unataka kukosa Raha kisa mwanamke mmoja, mbona wapo wengi mkuu,

sinamaanishi uwe unapiga na kuacha, Kama kama wanaojiita mabaharia wa nchi kavu,hapana, namaanisha tafuta atakayekufaa.

Jipende wewe na nafsi yako mkuu.
 
Aise ndug nashukuru sanaa...nimeelewa sana.
 
Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.

Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.

Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.

Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.

Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.

Kiukweli huyu binti nampenda sana.

Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?

Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.

Naomba ushauri wako.
Safi sana..umekosea kumgonga mke wa jamaa.. Jamaa Yeye alipiga demu wako kwa Sababu demu wako ni kicheche tu... Piga chini mbwa huyo
 
cha kufanya cha kwanza ni kuachana kabisa na mke wa mtu mzee ni sumu jamaa alikusameh maana yey ndo alianza lakini still yule ni mwanamke wake tema wa ndoa nakusihi achna na huyo mwanamke ukimuendekeza atakuingiza kwenye matatizo makubwa na wala hakutaki yeye anataka amuumize mume wake kama revenge fulani hivi kuhusu huyo demu wako amua mwneyewe ila
'' BINADAMU YEYOTE AKIANZA TABIA ZA KUCHEAT KATIKA MAHUSIANO HUWA HAACHI '' so jiangalie sana maana atakutumbukiza kwa mwingine ..
 
Graph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.

Sema na moyo wako mkuu, wewe ni mwanaume penda kiasi akili ndio ionhoze moyo..Wanawake ndio hupenda mazima.
Play smart in every move u do in the life.
-The hunger for love will lead you to Depression and stress
Inversely proportional.

Umempa ushauri mulua kabisa.
 
Kweli ukimwi umeisha, huu ni upuuzi gani? Watu kama nyinyi ni wakatili sana, so ndo kisasi ama? Kwa nini msipate hata ukimwi, mjue jinsi wanavyotesema na mavidonge? Hata wewe ukakubali kuchomeka kwa Mke wa jamaa?

Kwani kule heden nyoka kae aliongea na kichwa cha chini?
 
Mkuu mm nakushauri piga chini wote hao
Anza ukurasa upya, nothing you waste,
Unampenda mtu ambaye alikusaliti na ww ukawa sababu ya kumsaliti yeye!!! Kua serious man,
Ushauri wangu mwingine, usitumie akili kubwa kuwaza mapenzi, focus kweny mambo yako, mapenzi hua yana kuja tu mambo mengine esp ya kiuchumi yakikaa vzr, so piga chini hao, move on na maisha yako, utapata wa kukufaa,
Huyo hata ukirudiana naye siyo rahisi aachane na huyo jamaa,
Then umeshajua sababu iliyomfanya akusalititi ww? Ni kwamba humtoshelezi au tamaa ya pesa au ni kitu gani? Mhoji kwanz hayo mkuu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Graph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.

Sema na moyo wako mkuu, wewe ni mwanaume penda kiasi akili ndio ionhoze moyo..Wanawake ndio hupenda mazima.
Play smart in every move u do in the life.
-The hunger for love will lead you to Depression and stress
Basi Mimi Nina akili kubwa jaman
 
Back
Top Bottom