Karnee kadhaa zimepita still bado unaamini hilo neno?Karma
Hv una mda wa kuwaza mapenz kwel,ebu nenda ukajiandikishe upige kura tar 24 mwez wa 11
Nimekuelewa sana braza.Halaf maandish yakonyamekua kama kioo ambapo nimejitazama na kujiona mm kabisa nilivyoGraph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.
Sema na moyo wako mkuu, wewe ni mwanaume penda kiasi akili ndio ionhoze moyo..Wanawake ndio hupenda mazima.
Play smart in every move u do in the life.
-The hunger for love will lead you to Depression and stress
GG hiyo mkuu kunywa bia sasa achana na hayo mambo
Pamoja sana kiongozi..tupo hapa kukumbushana, Mwanaume wa kweli lazima atembee na kanunui na miongozo itakayo muongozo kwenye maisha ya kila siku sio kua bendera.Nimekuelewa sana braza.Halaf maandish yakonyamekua kama kioo ambapo nimejitazama na kujiona mm kabisa nilivyo
.
Principle yangu ndio hii...
Usimpende mwqnamke kupitiliza.Mpende kawaida huku ukimheshimu lakin akili zitangulie mbele hisia zifuate nyuma.Niko na yf mwaka wa 9 huu kwa kanun hii
Kabisaaa..Pamoja sana kiongozi..tupo hapa kukumbushana, Mwanaume wa kweli lazima atembee na kanunui na miongozo itakayo muongozo kwenye maisha ya kila siku sio kua bendera.
Wengine wanafukua makaburi we umefumua mapiramidi...Utakuwa na matatizo makubwa ya kimahusiano wewe jamaa. Tangu ujiunge humu nyuzi zako ni za vilio vya mapenzi tuu. Yani unaonekana uko too hopeless kwenye mambo ya kimahusiano.
Hata mwanamke atakayekuwa na wewe inabidi awe ni type ya wale walokata tamaa ya kupata mtu mwenye staha zake. Type ya wanawake wanaokufaa wewe ni wale wanaotegemea upepo wa kisulisuli.
![]()
Msaada msaada msaada
Habarini ....mimi ni kijana umri 28...ila sina mahusiano kabsa ila najikuta sipati usingizi adi saa nane au tisa usiku nipo tuu jf na mitandao mengine an all of time nasoma thread za mapenz au histry of past life on different events.....naomba msichana,mdada,mmama anayehisi atanifaa plz njooo...www.jamiiforums.com
![]()
Msaada wadada na wamama
Mimi nimekaa mdaa bila mwanamke, kwanin nyie hampo series saiz natafuta wa kushare life tuu story na gambe ndio best friend jamaan kwa yeyote aliyepo interested kuanza safari karibuni...www.jamiiforums.com
![]()
Wadada Nisaidieni...
Wakuu habarini...naulza swali ni kwanin wapo baathi ya wanawake ukimgegeda hasa katerero anakojoa mkojo huu wakawaida tena mwingi sana tusaidiane....www.jamiiforums.com
![]()
Mpenzi wa kike anatafutwa
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza kiuchumi,napenda mwanamke mkubwa kwangu. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Cc: Unforgetable
haya maneno yapasa tuyaishi, pindi tupotezapo muda mwingi katika maswala ya mapenzi ndivyo tutakavyo poteza muda mwingi kufanikisha mengine,Graph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.
Sema na moyo wako mkuu, wewe ni mwanaume penda kiasi akili ndio ionhoze moyo..Wanawake ndio hupenda mazima.
Play smart in every move u do in the life.
-The hunger for love will lead you to Depression and stress
Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra..bila kupoteza muda ipo ivi
Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa flani kwa mara nyingi nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuw huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa..kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na dem wangu na anamke na amemfumania jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka njee ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na dem wang na nilimkuta bado analumbana na yule dada..nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenz wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika nawakati uyu dada ananiambia nikaprove...sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa week kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa anashida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenz na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku dem wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa uyo dada na kwakuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfata mkeo wala nilikuwa simjui ila wew ndie chanzo maana umetembee na dem wangu na ndio maana haya yametokea aliomba msamaha na mimi nikasamehe..but mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanin nimelipa kisasi kile,kiukweli huyu binti nampenda sana...wakuu naomba munishauri je nimuache uyu demu wangu,na yule mke wa jamaa nimfate yeye na mumewe niwaeleze na kua sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au niataute mpenzi mwingine kama mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata saivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila namawazo sana hata kupumnzika nashidwa,naomba ushauri wako matusi hapana asanteni.
Karnee kadhaa zimepita still bado unaamini hilo neno?

Nan falaWengine wanafukua makaburi we umefumua mapiramidi...
***** sana huyu dogo fala...
😂 😂 😂 jamaa inaonekana maombi hayajamfikiaKwenye mkeka hiyo tunaita ni BOTH TEAMS TO SCORE, kiujumla wewe na huyo mume wa huyo mwanamke madishi yenu yameyumba, unakomaa na demu ambae anatoka na jamaa lililooa? Acha utani mkuu, kanisani huko tunaombewa tujitokeze kama upepo wa kisulisuli halafu wewe unamkazia msuli mala.ya
RebeccaHii ya kuchomoa betri Sio nzuri..msaidie mwenzio,,, mtoa mada wala usihofu, muda wa kumpata wako bado, ukimpata hata cheat waziwazi na atakupa amani, kutokulala kusikusumbue.. hata sisi tuna matatizo kama wewe ndio maana tuko wote macho 😂😂😂
Graph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.