Leon jeaph
Member
- Mar 9, 2019
- 88
- 82
Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.
Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.
Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.
Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.
Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.
Kiukweli huyu binti nampenda sana.
Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.
Naomba ushauri wako.