Nahitaji ushauri wenu kuhusu siasa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
11,297
Reaction score
14,590
Habari za uzima wakuu, I hope ni wazima macomredi wote wapambania vyama pamoja na taifa kwa ujumla.

Niende kwenye point moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mtanzania ninae vutiwa sana na siasa.

Mpaka hivi sasa ninavyoandika huu uzi nimeamua binafsi kujifunza siasa safi japo kua bado sijapata maamuzi ya kujiunga na chama chochote ndani ya hii nchi.

[emoji117]Msaada mkubwa au ushauri ninao uhitaji toka kwenu makomredi, mnisaidie vitabu gani nisome ambavyo vitanifunza siasa safi pamoja na uongozi bora na kuniongezea fikra yakinifu ili nitakapo ingia kwenye siasa niwe ni mtu niliyeiva.

NB: Mzungu hana tofauti na mandonga[emoji41]
 
Ukitaka kufa mapema basi wewe ingia kwenye siasa. Usiwaone baadhi ya wanasiasa wakitamba na vile vitambi vyao! Ukiwakuta nyuma ya pazia, utawaonea huruma.

Bora usome vitabu vya ufugaji wa kuku, au kilimo bora ili uwe tu mkulima kama mimi.
 
Una degree?
Siasa za Tz bila degree utabaki Kuimba Pambio
 
Your browser is not able to display this video.

Hata hii video ni Darasa la kuanzia
 
Mpaka hivi Sasa ninavyoandika huu uzi nimeamua binafsi kujifunza siasa safi japo kua bado sijapata maamuzi ya kujiunga na chama chochote ndani ya hii nchii.
Endelea kusoma jf, utajifunza kila kitu humu kuhusu siasa za Bongo.

Ila kwa bongo kama unataka mafanikio makubwa kwenye siasa, chama cha kujiunga nacho ni chama kimoja tuu, the one and only!.
mkubwa au ushauri ninao uhitaji toka kwenu makomredi mnisaidie VITABU gani nisome
JF inatosha.
P
 
Ukitaka kufa mapema basi wewe ingia kwenye siasa. Usiwaone baadhi ya wanasiasa wakitamba na vile vitambi vyao! Ukiwakuta nyuma ya pazia, utawaonea huruma.

Bora usome vitabu vya ufugaji wa kuku, au kilimo bora ili uwe tu mkulima kama mimi.
Point tupu
 
Hivyo nishasoma Sana nahitaji vya siasa
 
"Siasa ya Nje ya USSR"

Utapata ufahamu na kuitambua Tanzania yetu nzuri na urafiki wetu kwa Mema na USA
 
Endelea kusoma jf, utajifunza kila kitu humu kuhusu siasa za Bongo.

Ila kwa bongo kama unataka mafanikio makubwa kwenye siasa, chama cha kujiunga nacho ni chama kimoja tuu, the one and only!.

JF inatosha.
P
Politics and democracy in Africa is an art of purely creating madness in majority for the benefit of a few elites!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…