Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Achana na huyo muuza uke, atakutoa roho au utashikishwa ukuta wa mirerani kwa kujifanya unayalinda madini ambayo sio yako umeyakuta.

Kwanza hama hapo unapoishi soon utavunjiwa yai.
 
Mtu hupewa wa kufanana nae,unataka mwanamke mstaarabu wakati wew mwenyew hujatulia ?. Labda nikupe tu angalizo "mwanamke hakomolewi "!
 
Japi hawa watu huwa wanabadilika sana. Mm nlioa mwanamke wa hovyo kabisa, nlimpa ujauzito, akajifungua ujauzito uliingia makusudi alivoona nataka kusepa, sababu nligundua anatembea na ndugu yangu wa karibu sana, ndani ya familia sema tulikuwa mikoa tofauti, anakosoma ndo mm nlikuwa huko na kijijini kwetu ndo kuna familia yao so akiwa shule nakula mzigo, akiwa likizo jamaa yangu anapewa. Basi ikabidi tu ninyoshe maelezo licha ya ndugu kuzuia na kunitisha, nami sikutaka mwanangu alelewe na mzazi mmoja. Amenisumbua sana miaka ya mwanzo ila alipokuja kutulia mm nikawa nimeshazoea kuchepuka sana tu na wala siwazi wala kuumia na vitendo vyangu. Mpaka wa leo ashanifuma mara kibao tu na sms za madem
 
Kama ulivo sema mtOa mada"MAPENZI NI UPOFU",
Naima kwa sasa UMEONA.
kuumia moya cyo kufa,pia tambua mwisho wa jambo ni mwanzo wa jambo jema.
 
Kweli we jini...hahahah
 
Duuuh move on na mambo yako aisee hakuna mwanamke hapo, mm nikigindua tu mpenzi wangu ana mpenzi mwingine ndo inakua mwisho wetu, tupilia mbal huyo atakusumbua aisee
 
Duuuuu hivi kumbe bado Kuna viumbe kama wewe bado wanaishi...! Mwanamke mkutane club alafu uanze kumtuhumu eti anapenda starehe? Bro amini kwamba ww ndio una matatizo
 


ANGALIA HIVI VITU SANA KWA FAIDA YAKO:

- Kama una kazi nzuri, mshahara na ka gari mda wa kuoa umefika, na kama umefika huna haja ya mahusiano ya hovyo.
- Mwanamke asiye mke wako huna sababu ya kumpiga, mkishindwa unamwacha.
- Kutembea na rafiki ya mpenzi wako ni utovu wa nizamu uliopitiliza.
- BADILIKA KAMA UNATAKA KUWA NA FUTURE NZURI, UTAKUJA KUINGIA KWENYE SHIDA ZA KUJITAKIA.
 
nilikuwa nawaza wakaka wa maana tunaopishana nao wakati tunatoka kazini au miangaiko huwa wakogo wap? wanishi wapi? maana tunakutana nao wakiwa busy hata bila salamu, nikawaza huwa wakitoka kazini wanaendaga wapi?

nikawaza kuna siku nilikuwa na mi stress yangu natoka supermarket mlangoni nilikutana mkaka alivyokuwa smart, nilisema ee mungu wewe wajua.

kumbe mkitokaga kazini mnaendaga club ambapo wakina sie hatuend?

lakini mleta mada una matatizo gani? wewe unaenda club mwanamke ulimuokota club sasa unategemea nini mdogo wangu

lakini uzi huu umenifanya nijiulize hivi kumbe kuna wanaume wanapenda wapendwe na waheshimiwe? hii si kweli

lakini mbona mkipata wanaowapenda mnachukulia poa? mnaona hawana thamani.

nahisi wewe kinachokusumbua ni umri, na bahati mbaya wewe ni kavulana, ila ungekuwa mwanaume na una malengo usingekuwa unazoazoa club afu unategemea atabadilika never.

si semi kuwa waenda club wote wadangaji ila asilimia kubwa wadangaji, wachache wanaenda kupunguza stress

take this frome me ukiona umekosana na mwanamke hata kabla ya mwezi akawa tiyari kwenye mahusiano jua hakukupenda.

hivi una moyo gani mtu anakuchanganya na vizee wewe bado upo?

unataka ukimwi au?

lastly,ndege wafananao uruka pamoja hilo ndo chaguo lako, ukiendelea kudanga club basi kubali matokeo. umri unakusumbua u need to grow up dogo
 
Mtafute muombe radhi mkuu
Siku utakapofungwa maisha kwa kosa la kuua kwa wivu wa mapenz automatically mtaachana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…