Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Kwenye uvulana nimepita, nina 27 yeye ana 24
Unajua kuna watu mnakua miaka tu lakini ubongo unabaki nyuma? unalitambua hilo?

Imagine mwanaume ambaye kasomeshwa kwa taabu na wazazi wake, akapata ajira nzuri na kipato kizuri tu anaweza kukaa anaumizwa na kibinti mshenzi kiuza kumma cha night club kweli!?

Akaacha kuwekeza hizo hela anazochezea kwa malaya wanaojiuza, afungue miradi yake midogo midogo ya kilimo au ufugaji akaisimamia akaingiza kipato chake zaidi akashirikiana na wazazi wake kuwawezesha na wao wakaendesha hata mradi wa kufuga ng'ombe tu, au mabwawa ya samaki wakapata chochote wajikwamue na maisha badala yake ahonge malaya tu kwa faida gani hasa?!!!!

Wapo watu wanakuwa wanaume kwa maana ya miaka tu ila kiakili wanabaki kuwa wavulana.


Imagine unakaa bar na malaya wako unamsubiria akat0mbwe na mzee ili arudi ghetto kwako na ww uloweke hapo hapo kwa kigezo cha kwamba eti unampenda sana hadi unaumia!!!!!!!!!


Nina imani kwa michango unayoipata kwa wana jf utabadilika sana. Kumbuka Mungu hakupi mara mbili mbili.
 
Mwqnamke ni anafananishwa Na maziwa yakiingiwa Na uchafu mwaga hakuna kunywa maziwa yenye uchafu weye. We piga chini utazoea kisha tulia tafuta mwanamke mwingine umwoe usijaribu kufanya tendo kabla ya kumwoa heshima itakuwepo
 
Pole.muache move on!
Mimi bana mawasiliano na ex uzungu huo sina!any constant communication na ex wake italeta timbwili bayana ikibidi atachagua ex au mimi!
mi mwenyewe siawasiliani nao japo wako wengi wakishikana mikono wanafika mlandizi..yeye kasahau nini huko hadi kutwa wanatumiana picha na kurushana mitandaoni??mahusiano ya hivyo YANAKOSA HESHIMA!
 
Uamuz wa maisha yako unao ww sema tu hujakaa ukaufanyia kazi
 
Songa mbele Mzee baba. acha kujilazimisha unampenda utakufa wakati sio wako kwa mambo ya kijinga.

Jifunze mwache aende zake.Tafuta mpya pesa si unazo mzee mwezangu watakuja tu wengine tena itapendeza likizo moja ukaenda mbali na Mwanza kutuliza akili.
 
Asante sana
 
Asante kwa ushauri Kaka
 
Mkuu acha uboya Na ufala wa kijinga, Utakuja kufa wewe kuna watu wengine uvumilivu huwa zero watakupiga Shaba. Endelea na maisha yako mrudie Mola anza kwenda kwenye ibada. Akiri yako itakaa vizuri tu. Na maisha yatakua murua it's just a matter of time
 
Kaka move on na maisha yako. Hakuna cha kuomba msamaha wala nini. Kama dem mwenyewe umuacha na ndani ya mwezi anatembea na mume wa mtu maanake nini?
Kwanza hajatulia, hapo ukimuuliza future yake hajui anaelekea wapi hajui.
Ni kicheche na hayo ndio maisha yake. So man invest katika maisha yako.. ww move on. Ww bado.kijana una maisha ya kuendelea nayo
 
Asante Kaka kwa ushauri japo Moyo unauma sana
Hakuna aliyesema kuwa itakuwa rahis? An brother you are a codependet. Ww uko radhi umuombeasamaha wkt kosa alifany yeye.

Jikaze, futa namba zake, picha zake, ikilazimika hama mtaa. Usipite maeneo ambayo yatakukumbusha kuhusu yeye.
Now invest maisha yako kwenye kutafuta pesa, tafuta maisha jombaaa.

Nakupa miezi mitatu. Ukiweza vumilia baasi utakuwa umemsahau.
 
Kweli kabisa Kuna watu hawana uvumilivu ipo siku akamwagiwa tindikali au wazee wenye nazo wakamwendea kwa wahuni wakamla Tigo tena mwanamke mwenyewe hana msimamo ovyoo.

Bora mkuu mwenzetu atulie kivyake akijifanya anajua Sana kupenda ataumia tu.

Nashangaa kazi anayo tena kwamujibu ya yeye mwenyewe ni nzuri na ana mkoko atulie afaidi matunda ya kuangaika kusoma nk.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…