Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 635
- 1,458
Habarin wana jamii wwnzangu
Mimi ni kijana wa hapa hapa nchini ni mwanaharakati wa maendeleo .Baada ya kuwa na uwoga wa kujaribu muda mrefu sasa nimeona enough iz enough ... Nimeamua nataka nianz kufanya biashara ndog ndogo nikiwa na malengo makubwaaaa ..iko hivi nna mtaji wa 50k nataka nianze kufanya biashar a ya kuuza viatu vya kike nimefanya uchunguz kidogo nikagundua hawa ndugu zetu wanapenda sana kununua viatu kuliko wanaume sasa nataka niane wajameni .....ushaur ninaouomba kwenu kama kuna waz o lingine mnipe jaman kijaa mie