Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Kitoabu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
11,079
Reaction score
12,319
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.

Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).

Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu.

Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.

Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.

Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini.

Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao.

Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.

Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----.

Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.

Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?

Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?

Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
 
mkuu sio unatamani kuoa mke wa pili kwa kisingizio hiki? but pole
 
ungejaribu kuweka hata paragraph mkuu.........

sasa kinachokuzuia kuhama na mkeo ni nini!!!!!!

hili ingebidi ulitafakari toka mwanzo....uhuru wenu nyie wawili

lazima muukose tu....kaa chin zungumza na mkeo na hiyo familia pia!!!!!
 
i cant belive my eyes kwa nilichokisoma ,cary your burden and go man mwambie mkeo kama anakutaka akufuate na baada ya 3month utaoa kama hataleta pua yake,au mtie huyo mwanamke kwa ubwete akilia kwa uchungu utamu baba yake akitoka kuangalia maana bado ni mdogo au kaka zake wachanganyie na wao kwenye game bullshit utakubalije kuolewa mtoto wa kiume wewe proove beyond reasonable doughts that are a gentleman kha
 
Hivi kijana ulieamua kuoa kwa hiari yako mwenyewe unakaaje ukweni?? ili iweje?? na hayo unayoyapata ni halali yako. Huyo binti wakati unamuona alikuwa na umri chini ya miaka 18 mpaka aendelee kuangaliwa na wazazi??
 
makubwa yaani unapewa chumba ukweni unakubali? mi nilidhani ulipewa bonge la mjumba ...sasa unagegeda vipi? gemu naona mnalipiga kwenye silent mode tena usiku mzitooo...yaani sikupatii picha. ila una moyo aisee...
umejidhalilisha sana ujue..na hao wazazi wako wanaokuja hapo kukutembelea eti hawapo free nawashangaa sana mimi wala nisingerusha mguu hapo kamwe.
nenda kwenu haraka sana
 
Hivi kijana ulieamua kuoa kwa hiari yako mwenyewe unakaaje ukweni?? ili iweje?? na hayo unayoyapata ni halali yako. Huyo binti wakati unamuona alikuwa na umri chini ya miaka 18 mpaka aendelee kuangaliwa na wazazi??

hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo
 
Kwani kuoa ulilazimishwa? Why ukubali kuishi ukweni for 4 years now? Amka mkuu mwambie mkeo mhamie kwenu na asipotaka wewe tangulia tu akijua maana ya ndoa atakuja tu.
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye kila kitu kununua baba mkwe hadi nguo za mke wako!
aaaah! unatushusha wanaume wenzio kama nyumba unayo ondoka hapo!
aaarrgghh!!! na ningekuwa karibu ningemgegeda mkeo akili ikukae sawa!
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
kila kitu kinakuwa silent mode hata vibration hathubutu kuweka
 
hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo

Heheh...kama binti yao kaolewa sijui wanataka akue nini tena...sijui hata ile show ya kikubwa hao wazazi huwa wanaisimamia binti yao asiumizwe!!!

Jamaa kawekwa ndondocha bila kujijua ili atumike kama ATM au kiwanda cha kufyatua shekeli...
 
Jilipo na loli....huyu baba vipi? Kitoabu hebu hama haraka bro, huna hata haja ya kuja kuuliza huku! Mke atakufuata tu.....

hahaa lazima afuate dushe...hadi mzee wake atashangaa kuona bint kachachamaa anataka kwenda kwa mume..........

hapa ni lazima ushangae sijui alikuwa wapi kuact siku zote hizo jaman
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana

hahaaa hebu mshaurini mwanaume mwenzenu........huyu Asprin sijui siku hizi kafungiwa na nani

hapo kujiachia huwezi....unaanzaje kwanza kujiachia!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kila kitu kinakuwa silent mode hata vibration hathubutu kuweka
Smile hata kupka kakuku kako sasa utafanyaje silent aise wasihisi harufu
halafu bado anakaa chumba kimoja na mtoto wake balaa gani hilo Kitoabu unamfundisha nini huyo mtoto

hahaaa hebu mshaurini mwanaume mwenzenu........huyu Asprin sijui siku hizi kafungiwa na nani

hapo kujiachia huwezi....unaanzaje kwanza kujiachia!!!!!
Heaven on earth anatia hasira ujue analalamika badala ya kuchukua maamuzi bana haya ndiyo yale maamuzi unatakiwa uchukue bila hata kuuliza yaani waanaamka asubuhi wanakutana na mabegi nje na kila kitu wakiulza unawaambia naenda kwetu na ole wake mtu amguse mke wangu au mtoto
Kwa Asprin nafikiri Matesha kashamtia pingu no mawasiliano no kutoka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom