Pole mkuu, yawezekana ni tatizo la kiasaikolojia, labda baada ya kutishiwa ukaanza kujenga hofu (kwenye sub-concious mind or unknowingly), then huo uoga ndio umeenza kukushawishi concious mind vinginevyo.
Otherwise, Uchawi upo (hata kwenye vitabu vitakatifu umeandikwa sana), ila Habari njema ni kuwa Kunaye Mungu ambaye shetani hana ujanja Kwake, so ukiwa nae na kumshika kwa moyo, uko safe na huna cha kuogopa kuhusu shetani. Mtafute maadamu anapatikana. (unfortunately watu wengi wamejazwa hofu sana ya kumuogopa shetani, ni kweli shetani ukimzoea zoea lazima atakuaibisha ila ukimjulia, he is nothing at all)
Vinginevyo Ligi mkuu sio nzuri, Binafsi sikubali kuonewa, ila likija swala la ligi inayoweza kuepukika, Mkuu huwa napisha mwenye nguvu apite na hadi sasa sijawahi kujuta.