Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
- Thread starter
- #61
Sasa unataka kuoa sababu ya UMRI,FASHENI au ndio umempata mnyama umpendae..............................???
Kutamani kuoa/kuolewa huwa kunakuja baada ya kupata the right candidate.............................haya tuambie..............
We umempata nani anayekupa kiwewe cha kutaka kuoa...................au unataka kutimiza wajibu tu....................???
Nionavyo mimi unafanya maandalizi ya KUIVUNJA NDOA ambayo hata hujaifunga!
SUGUA GOTI ILI URUDI KUWA BINADAMU...............
Sherehe yangu itafungwa zizini,,nitalishwa keki na wanyama bhana.