ok,sasa huko kwa animal unatamni uwe jike au?toa ushauri bhana,avatar achana nayo ila ndo hivo mapenzi yangu yamehamia kwa animals
basi itabidi tuku hasi ili utumiwe kwenye shughuri za ulinzi kwa kutumia jeshi la polisi maana wana upungufu wa farasi!!mi dume bhana kama farasi
hamtamaniani!!!!!!napata wivu kushindana naye kugombania jike
Tafuta mtu mmoja unayedhani ni tajiri sana, kisha anza kushindana naye kutafuta pesa, naamini utamshinda kama ulivyomshinda huyo jamaa kwa demu. Halafu kila utakapoona majumba na magari ya kifahari utatamani kuyanunua kama unavyotamani wanyama.
unabishana na tony breyaaaaah bhana acha hizo bhana,wenye ndevu hawatamaniani
Vumilia tu kama huna usingizi.unabishana na tony breya
haya bana ngoja mwenyewe akusikie!!!Vumilia tu kama huna usingizi.
Ushawahi kusikia Mbuzi Mzee anasema meeeee puf puf halafu anarusha rusha mguu wa mbele
Ha ha ha umemjibu vizuri sana
tatizo ndo hivo,nataka kuoa sasa nifunge ndoa na nani?