- Thread starter
- #241
Kwa kweli inauma sana. nilisubiri ajifungue kwanza nikajua atabadilika lakini kumbe alikuwa ananichora tuKweli una moyo,kama ni mimi nishapiga chini zamani sana na sembuse nishasahau kama nilikua nae
Kwa kweli inauma sana. nilisubiri ajifungue kwanza nikajua atabadilika lakini kumbe alikuwa ananichora tuKweli una moyo,kama ni mimi nishapiga chini zamani sana na sembuse nishasahau kama nilikua nae
Ni kweli mkuuHAPO HAKUNA NDOA UKIMSAMEHE UTAISHI KINAFIKI KWANI KILA UTAKAPOKUMBUKA MAPENZI YATATOWEKA
Hayo yote Nilifanya lakini ndo hivyo bado ana tamaakwa maoni yangu, sikushauri uvunje ndoa. ndoa ina baraka zake kwa Mungu hivyo mrudie mkeo MARA MOJA.
cha kufanya itisha kikao na wazazi wa pande zote mbili, uwaeleze kilichotokea na mkeo nae ajieleze ili mpate busara za wazee wenu.
Alichokiunganisha Mwenyezi Mungu mwanadamu haruhusiwi kukivunja. MRUDIE MKEO usisikilize maneno ya watu!
Asante mkuupole mradi ushajua sio mwaminifu muache aende zake..atakuletea magonjwa huyo.
tulia kwanza peke ako thn baada ya miezi michache uanze kutafuta mwingine...
Lakini wengine wametulia japo ni wachache sanaJaman wanawake SIJUI tulilogwa Na Na
Asante nduguNdoa hizi, ni shida. Pole sana ndugu
Hapana mkuuUlimkuta bikra?
Kweli kabisaHapo ni kad nyekundu tu, akisema shetani m baya alimpitia muulize alimpitia wakaenda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mwenyewe najiuliza nakosa jibuMimi nauliza Swali kwa wanawake maana najua wamo humu,Je unapokua na mahusiano na Mwanaume hadi mnapeana nadhiri ya kuolewa/kumuoa mlikua radhi kweli au ni Kiki? Mwanamke huwezi kuolewa na Mwanaume then baadae ukawa na ukware pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaumiza sana mkuuFukuza huyo kenge na marufuku hata kumsogelea. Nachukizwa sana na mwanamke mwenye tabia ya umalaya wa chini chini akiwa katika uhusiano. Sijui wanawake wanakuwaga na funza gani kichwani. Mi mwanamke anaenisaliti siwezi kulala nae hata kidogo kwanza sitaki muona ntamuua kwa hasira!
Tatizo alikuwa na mimbaUlitakiwa kutoka ulipobaini haya ungelimsamehe na kumtaliki akaishi na hao wanaume zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi anatembea na watu wazima sanaAcha kabisa, ni bora ukapigiwa pasipo kujua.... lakini ukijua hua inauma hadi unaweza fanya kitu mbaya haijawahi tokea tangu kuumbwa kwa hii dunia aiseeeeeeeee
Asante sana mkuu!
!
Pole Sana mkuu.
We acha tu. Sijui wanawake wanataka niniSijui wanakuwaga na pepo gani hawa wanawake...Mtu atulii unampenda kumuheshimu na kumjali ila bado linafanya umalaya nje tu sijui wapoje
Sijataka kesi mkuuMkuu hujamkata hata kamguu kamoja tuu?umemuachia aondoke bure bure?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini hakuwa ridhk yanguHuna hata sababu za kumwacha kwa kuwa hata hao wanaume wana wake zao,
na ukioa mwingine ni hivyo hivyo maana wote tabia zao ni sawa sawa tu.
Dah kweli mkuuUna moyo sana mm nisngeomba ushauri wa MTU ,kauli yangu mm
Nilimpenda bint 1alivo nitenda sjawahi penda ila kupenda,mwansamke ukimpenda umeumia haya pendeki haya pole mku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulioa demu wa mtu sasa....Hapana mkuu