Nahitaji ushauri; Mke wangu amenisaliti na sasa ana mimba

kwa maoni yangu, sikushauri uvunje ndoa. ndoa ina baraka zake kwa Mungu hivyo mrudie mkeo MARA MOJA.

cha kufanya itisha kikao na wazazi wa pande zote mbili, uwaeleze kilichotokea na mkeo nae ajieleze ili mpate busara za wazee wenu.

Alichokiunganisha Mwenyezi Mungu mwanadamu haruhusiwi kukivunja. MRUDIE MKEO usisikilize maneno ya watu!
Hayo yote Nilifanya lakini ndo hivyo bado ana tamaa
 
Fukuza huyo kenge na marufuku hata kumsogelea. Nachukizwa sana na mwanamke mwenye tabia ya umalaya wa chini chini akiwa katika uhusiano. Sijui wanawake wanakuwaga na funza gani kichwani. Mi mwanamke anaenisaliti siwezi kulala nae hata kidogo kwanza sitaki muona ntamuua kwa hasira!
Inaumiza sana mkuu
 
Dah wanaume tumetofautiana sana,huyu jamaa alioa mtu ambae hakumpenda sema ndo hvo madem ukifkia ule umri wa kua desperate ataolewa na yoyote tuu ila mwisho wa siku ndo haya.pole mjomba,yaan mi nilivo,ndomana nahia nna list ndef sana ya hawa dada zetu na ndomana pia bdo nipo nipo,yaan mi ni kitendo cha sms1 tuu inaeza vunja mahusiano totaly,infact mi dem wangu sheria namba1 ni sim yake nkiitaka anytim ananipa hatak ni akwende,ujinga stakag.yaan mi nkihis tuu hua ni anapigwa mtu chini
 
Back
Top Bottom