Nahitaji ushauri kwenye jambo hili


[emoji19]
 
Braza ungekua jirani yangu ningekuzibua mabanzi ya kichwa na uso ili akili zikukae sawa!

Yaani mzigo uliomshinda kuli
Wewe kimbaumbau ukijitia ubingwa kuunyanyua utavunjika mgongo

Kimbia,kimbia nasema tena kimbia

Utakuja nishukuru baadae
Anyway utanisamehe tu kwa maneno yangu makali

Acha uzwazwa!
 
Mpuuze tu mkuu, hila wanawake sio viumbe wakutendewa Wema kabisa
 

asante kwa ushauri
 
Kabla ya kuingia nae kwenye mahusiano ulitakiwa ujiulize hao wawili waliomwacha waliona nni?
 
Relax mkuu, umeshamuonesha njia. Umefanya wema kazi yako imeisha, kama hutojali unaweza kukubali anachokitaka maisha yakaendelea.
 
Alichokuwa anakitaka,kakipata...usimlaZimishe.

Jamani kila siku mnaonywa kuhusu single mom,hivi hamuelewagi???

Yaani mtu ana watoto wawili,kila mtoto na baba yake!!!!!
 
Ulijitakia! Uliingiaje gharama zote hizo kwa watoto wakati baba zao wapo hai??? Achia tu ngazi kwa amani mchuma uondokr huo!

Huna haja ya kutafuta mahunia mawili ya mkaa wala kidumu cha petroli!

Ondoka tu kwa Amani. Biashara yake ikibumba mwenyewe atakutafuta tu. Kikubwa, tuna Amani yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…