khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,225
- 1,549
wee hujiulizi ni kwanini kila mtoto na baba ake? na kwanini haolewi? na wewe ni wa tatu ila bado haeleweki?Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
MWAKA UMESHINDWA MUONGEZEA MTOTO WA 3Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
MNAAMINI UPUUZIwee hujiulizi ni kwanini kila mtoto na baba ake? na kwanini haolewi? na wewe ni wa tatu ila bado haeleweki?
huyo ana mapepo au laana. Kama umempenda na unataka awe mkeo. Mbembeleze umpeleke kwa Mwamposa akaombewe na wewe ukaombewe
akapewe na mafuta na maji ya upako.
We ni BOYA kabisa,Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]We ni boys kabisa,
Hivi wanawake wote hawa ilikosa hadi uchukue aliyezaliwa ovyo kama mbwa na kila mtoto na baba yake?
Hapo bado hujazaa naye walio wako ,
Uboya zaidi unamlipia mtoto ada ilihali baba yake yupo hai!!!
We ni zaidi ya boya!!!!
USHAURI ACHANA NAYE KABISA, TENA AMEKUSAIDIA
TAFUTA MWANAMKE WAKWAKO TENA ASIYE ZALISHWA OVYO!!!!
Babuu hata kama ndo kupenda, huo ni ufala. Achana na huyo demu aisee... kwanza ana watoto wawili kila mtoto ana baba ake, pili anakutamkia wazi wazi uachane nae we unataka kukomaa umdhuru ya nini? Hicho ni kiwanja chenye mgogoro usijenge hapo sheikh.. Wanawake wamejaa wengi tu mtaani wanakosa wanaume mpaka wanatembea instagram na mabango..Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
Kwa ufupi kabisa na bila kupepesa macho wala kupata kigugumizi nakushauri hivi - WACHANA NAYE na endelea na maisha yako. Hivyo vijisenti ulivyompa na kuwekeza kwake ndiyo chanzo cha hiyo dharau. Achana naye kwa amani na usalama na kwa UPOLE! Hizo pesa ulizompa ZINATAFUTIKA ndugu yangu, nasisistiza tena, achana naye kwa AMANI.Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]
Ume andika kwa huruma sana, mpe za uso huyo hana akili.Kwa ufupi kabisa na bila kupepesa macho wala kupata kigugumizi nakushauri hivi - WACHANA NAYE na endelea na maisha yako. Hivyo vijisenti ulivyompa na kuwekeza kwake ndiyo chanzo cha hiyo dharau. Achana naye kwa amani na usalama na kwa UPOLE! Hizo pesa ulizompa ZINATAFUTIKA ndugu yangu, nasisistiza tena, achana naye kwa AMANI.