Nahitaji used phone 250,000tsh

Nahitaji used phone 250,000tsh

asseyezio

Member
Joined
Jan 25, 2018
Posts
15
Reaction score
2
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
 
Huawei y7 prime. Niongezee 50,000 tu uwe 300, 000
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Njoo uchukue s5 gb 16
 
Njoo uchukue Tecno W3 LTE just 135,000 /= iko na condition nzuri nipo dar
 
njoo inbox kuna samsung galaxy J3 imesimama nataka 180k tu
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Samsung galaxy S6 imetumika miezi miwili ,njoo inbox tuongee.
 
Dah hii kitu siwezi isahau kwenye maisha yangu acha Mungu tu aitwe Mungu yaani kwa sasa hata Mtu auze S9 laki 2 na iwe Og. Nikupita tu hiviiiiii.
Tunajua kuziset..... Tunachange imei alaf haturestor chamsing muuzaj awe wazi
 
Tecno phantom 6 ram 3gb internal 32gb ina 4g
IMG-20181020-WA0000.jpeg
 
Nina Samsung j7 ila ina tatizo kidogo tu.

Haina kioo wala Betri

Njoo pm kwa maelewano zaidi
 
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake sihitaji tecno spark kama common , na ma k
Ipo samsung galaxy s5 nipo dom
 
Mbona hela inatosha kununua sim nzuri tu dukan.. Kuna maduka yanauza simu used kutoka nje pale kkoo... Ukiiona huwez jua kama ni used zipo aina nying kasoro tecno na itel
 
Back
Top Bottom