Nahitaji uchawi wa kununua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koo koooo
 
Me natokea sumbawanga nitakupa bure sema unataka uchawi gani? 😀😀.
 
Kwa yeyote anaefahamu mahali ulipo
Nenda Kanisani ukawaone watumishi wa Mungu wakuongoze sala ya toba kama Plan A. Baada ya hapo utajua sasa kama kweli unahitaji kile unachokitafuta au hukihitaji! Unatakiwa umkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako
 
Mkuu unaweza kweli ukwa mwanga wee[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Naona Jamaa anataka fungua kiwanda cha usiku
 
Usisahau Kunguru Mjane, hahahaaaaaa, ndg wa huu uzi kaniacha hoi.

Mchawi ni MUNGU tu ndg yangu ndiye atosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…