Nahitaji uchawi wa kununua

Nahitaji uchawi wa kununua

Mungu akurehemu, watu wanapiga vita uchawi halafu wewe ndio kwanza unataka ununue, kama shida za maisha njoo kwa Yesu anamaliza yote
 
Kumbe uchawi ni bidhaa yenye unaweza nunua eehhhhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Heeee mkuu ulikuwa hujui!!
Kuna uchawi wa kupima,wa mafungu, wa rejareja, wa Jumla na take away.
Inategemeana na mahitaji hata kukopa upo. Sema huu wa kukopa unakuwa hauna nguvu sana.[emoji6] [emoji6]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom