Nahitaji uchawi wa kununua

Nahitaji uchawi wa kununua

Me natokea sumbawanga nitakupa bure sema unataka uchawi gani? 😀😀.
 
Kwa yeyote anaefahamu mahali ulipo
Nenda Kanisani ukawaone watumishi wa Mungu wakuongoze sala ya toba kama Plan A. Baada ya hapo utajua sasa kama kweli unahitaji kile unachokitafuta au hukihitaji! Unatakiwa umkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako
 
Hii inahusisha vitu vingi mkuu. Inamana hyo 70 ni nauli yake kwenda na kurudi pamoja na kuandaa vifaa vyote vya kazi.

Kuku mweupe, mayai mawili ya bundi, yai viza 1, nafaka (mtama mweupe) kilo 1, ukindu, chungu, mafuta ya taa robo, nazi 2, ubani maka wa 500, marashi rose chupa 3, sadaka 6000, + dawa yenyew.
Mkuu unaweza kweli ukwa mwanga wee
 
Hii inahusisha vitu vingi mkuu. Inamana hyo 70 ni nauli yake kwenda na kurudi pamoja na kuandaa vifaa vyote vya kazi.

Kuku mweupe, mayai mawili ya bundi, yai viza 1, nafaka (mtama mweupe) kilo 1, ukindu, chungu, mafuta ya taa robo, nazi 2, ubani maka wa 500, marashi rose chupa 3, sadaka 6000, + dawa yenyew.
Usisahau Kunguru Mjane, hahahaaaaaa, ndg wa huu uzi kaniacha hoi.

Mchawi ni MUNGU tu ndg yangu ndiye atosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom