Nahitaji TV set ya 32" au 30"

Nahitaji TV set ya 32" au 30"

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Nipo Dar kwa yeyote mwenye hiyo TV(mpya au used) iwe flat screen au chogo sawa tu almradi iwe katika hali nzuri,
ofa yangu ni laki 2 hadi laki 3 kulingana na hali ya TV yenyewe.

Asanteni.
 
Ni pm nikupe flat screen mpya na box lake bei 300000. Singsung inch 22
 
Mie ninayo Toshiba flat chogo inch 35 made in Japan for ulaya market ina toa picha quality kali mno,interested tuhamie inbox ImageUploadedByJamiiForums1405507145.476924.jpg


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Bado sijapata mwenye nayo ani PM.
 
IPO INCH 40 FLAT SCREEN SUMSUNG,price 800,000/-...
 
Back
Top Bottom