Nahitaji Trela la kuvuta kwenye gari ndogo

Nahitaji Trela la kuvuta kwenye gari ndogo

mwandulu

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Habari zenu wanajamii.Ninaomba msaada wenu wa ushauri,nilikuwa nahitaji trela la kuvuta kwa ajili ya gari ndogo.
Mwenye kukodisha au kufahamu mtu anayekodisha naomba awasiliane na mimi.

Na vile vile ningependa kujua kama kuna mahali ninaweza kununua hivi vi-trela vidogo. Naomba mawasiliano kama kuna mtu anazo.

Natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu.
 
Nipo Dar es Salaam mkuu..
Ila kama ni mkoani kwa ajili ya kununua.. Basi nitafunga safari..
Shukrani sana..!!
 
Back
Top Bottom