Nahitaji tiba ya mtu aliyepooza na uvimbe kwenye ubongo

zogondo

Member
Apr 12, 2018
20
2
Wadau nina mgonjwa kapalalaizi tumeenda Muhimbili imesemekana ana uvimbe kwenye ubongo uliosababishwa na TB (kifua kikuu).

Mwenye kujua dawa ya kuyeyusha huo uvimbe anisaidie, hata mawazo pia ntayapokea nilimradi nipate pa kuanzia.
 
Mkuu Pole sana kwa hayo maradhi ya huyo mtu wako aliye pooza mwili na kuvimba kwenye ubongo.Nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mgonjwa wako aweze kupona maradhi yake .
 
dr mzee wangu 75yrs kapata stroke ila imegusa ubongo tu kulingana na kipimo cha MRI... ni mwaka 4 sasa amechanganyikiwa na wasiwasi wa kutosha....tunampa dawa za bp. vp kwako itapatikana dawa...
 
Kuna sehemu nilisoma hii.
Unachukua mbegu za parachichi unasaga kwa kutumia greater thn unaanika.alaf utakuwa unachemsha unampa mgonjwa kutwa mara tatu.pia kuna mdada huko uoutube au tiktok anajiita jenifferatta huwa anajibu sana maswali hayo na kuonyesha tiba mbali mbali za mimea
 
Back
Top Bottom