Nahitaji tani 500 za pilipili

Nahitaji tani 500 za pilipili

Mtulivuwafikra

New Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
3
Reaction score
3
Tuwasiliane nahitaji tani 500

Mazaobiashara@gmail.com

0766186785
IMG-20210217-WA0000.jpg
 
Ah!! Michongo mingine hii unajua kabisa ina lengo la kukwamishana ili kesho mtuambie "tunawapa mishe lakini hamzichangamkii"!! Yaani Kilo 500,000 za Pilipili?!
 
Hiyo angetoa bei kwa kilo, kama inalipa atoe miezi mitatu alimiwe...
Kwa hapa Nyumbani hatuna large scale ya kilimo cha pilipii ya kuweza kupata Tani 500
 
Back
Top Bottom