Nahitaji Tablet Nzuri: Any recomendation?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.

Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet

Isiwe nzito

Any recomendation?
 
Nunua kindle, ni nzuri kwa ajili ya kusomea vitabu
 
naongezea tu inaitwa kindle 6 kioo chake ni kile cha black an white (e ink) hakiumizi macho sana sababu feel yake ni kama karatasi.

kinakaa na chaji mwezi mzima na kinaingia vitabu around 1,000

ni chepesi kina wifi na bei ni dola 70.
 
Pichani ni Kindle Paperwhite

  • Hii ndio device itakayokidhi mahitaji yako
  • Utaipata ebay/ amazon
  • Kwa dar au arusha bado ni kitendawili.
  • ​Mimi binafsi nilinunua ebay baada ya kushidwa kupata kwa hapa TZ
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.

Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet

Isiwe nzito

Any recomendation?

Nunua kindle, ni nzuri kwa ajili ya kusomea vitabu

naongezea tu inaitwa kindle 6 kioo chake ni kile cha black an white (e ink) hakiumizi macho sana sababu feel yake ni kama karatasi.

kinakaa na chaji mwezi mzima na kinaingia vitabu around 1,000

ni chepesi kina wifi na bei ni dola 70.

Vinapatikana Wapi!? Kwa hapa Bongo!????

Bongo utazunguka sana agizia online
 
Vipi mkuu, mashine ushaipata? Share your experience with us on the product quality!!

Nimepata yote mkuu, natumia paperwrite kindle ni nzuri, shida yangu ilikuwa ni kwa kusomea vitabu tu na si vinginevyo
 
Yap, hata mimi nilikuwa nahitaji purposely kwa ajili ya kusomea thats why nahitaji paper white badala ya hizi luxurious kindle fire!
Nimepata yote mkuu, natumia paperwrite kindle ni nzuri, shida yangu ilikuwa ni kwa kusomea vitabu tu na si vinginevyo
 
Nunua lenovo yoga tablet. Inakaa na chaji kwa masaa 18 na ni multi mode. Utafurahi
 
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.

Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet

Isiwe nzito

Any recomendation?

I would recommend barnes & noble nook book any 7" or 9"
 
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.

Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet

Isiwe nzito

Any recomendation?

Kuna jamaa anazo Kindle alitoka nazo Marekani, kama bado unahitaji niambie nijuelekeze.
 
Nielimishe mkuu,nina samsung tab 2 7.0 ina mapungufu gani kwa hiyo Kindle?
 
Mkuu kindle ni kwa ajili ya kudownload vitabu na kusoma, na ina black&white color ambayo inakufanya usome vitabu pasi na kuumia macho tofauti na tablet za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…