Huwezi feli interview zao labda kama umelogwaWote wanaofanya interview huwa wanapangiwa kituo vya kazi au unaweza feli interview na utajuaje kama hujafaulu?
Unaweza kusema hvy halafu ww siku unaenda kufanya interview ndo unakuwa wakwanza kufeliHuwezi feli interview zao labda kama umelogwa
Bado hajapata muongozo, msaidie ww huo muongozoNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Ni hivi interview zao huwezi kufel niamin mimi hata mtu ambaye hajasoma vidato anafauluUnaweza kusema hvy halafu ww siku unaenda kufanya interview ndo unakuwa wakwanza kufeli
😂😂😂 Tuombe Mungu mambo yawe mazuri na kazi ipatikane kwa haraka, mm nilifanya Interview yao Ijumaa iliyopita.Ni hivi interview zao huwezi kufel niamin mimi hata mtu ambaye hajasoma vidato anafaulu
Kwa njia ganiTuombe Mungu mambo yawe mazuri na kazi ipatikane kwa haraka, mm nilifanya Interview yao Ijumaa iliyopita.
Walinipigia simu niende kwa ajili ya training then nikafanya na interview ofisini kwaoKwa njia gani
mkuu naomba kujua kwa hao je kama uko mbali na office zao unafanyaje interview na je kupata internship kwa hawaangali maswala ya GPA kama private wanataka second class upperWalinipigia simu niende kwa ajili ya training then nikafanya na interview ofisini kwao
Kama uko mbali na ofisi zao aisee hapo cjui itakuaje ila nakumbuka kuna raia alitoka Morogoro kuja kufanya Interview labla ww angalia ofisi ya kanda iliyokaribu na ww, kuhusu GPA wao taesa hawahusiki nalo ila kampuni ndo watahusika mana wataangalia mtu wanaomtakamkuu naomba kujua kwa hao je kama uko mbali na office zao unafanyaje interview na je kupata internship kwa hawaangali maswala ya GPA kama private wanataka second class upper
sawa nimeelewa mkuuKama uko mbali na ofisi zao aisee hapo cjui itakuaje ila nakumbuka kuna raia alitoka Morogoro kuja kufanya Interview labla ww angalia ofisi ya kanda iliyokaribu na ww, kuhusu GPA wao taesa hawahusiki nalo ila kampuni ndo watahusika mana wataangalia mtu wanaomtaka
Sasa wengine wanaombwa kufanya interview kwa simu maswali mawili tu wenyewe wanakuwa wamechoka unachukua max zako za bure pasi yakutokujua uko na nondo pembeni yako unasoma tuWalinipigia simu niende kwa ajili ya training then nikafanya na interview ofisini kwao
Naomba kuuliza, mfano shirika la kiserikali linahitaji watu wanaanzia huko taesa au kule ajira portal.?Hawa ni agents wa serikali na baadhi ya makampuni binafsi wanotumika kurecruit interns.
Utaenda pale utajisajiri hakikisha umebeba vyeti vyako original.
Baada ya muda utaitwa kwa ajili ya interview kisha baada ya hapo utapatiwa training.
Ikitokea nafasi inayoendana na elimu au skills zako basi utaitwa na kupelekwa ofisi husika ukaanze internship.
Wanalipa posho ya sh 150,000/- tu kwa ajili ya lunch na nauli. Ila ukibahatika ofisi uliyoenda wakawa nao wanakupa chochote basi Mungu mwema.
Wao huwa wanatoa nafasi kwa either miezi sita au mwaka pekee. Baada ya mwaka kuisha wanakua wamemalizana na wewe na endapo ofisi uliyokua ukifanya internship wakakuhitaji basi itawabidi wenyewe ndio wakulipe au waingie makubaliano na wewe.
Hii kitu ndio imepelekea wengi kuajiriwa na taasisi hisika wanakofanya internship hasa kwa wale ambao hawapitii utumishi maana huwa ni kama wanathibitishwa tu hata kama tangazo limetoka na mkaitwa interview na imeongeza kelele za kusema vimemo vinafanya kazi.
Ukumbuke TAESA hawaajiri, kwa hiyo ukipata nafasi usiache kuendelea kutafuta kazi sehemu nyinginezo.
Mie mkuu nimejisajili hata week tatu sina wamenpigia kuniuliza ka nshafanya interview sijui kuna mchongo ila wameniambia niende j3,Kwa upande wangu sikujisajili wala kufanya interview nlikua referred sabab kozi yangu watu kuwapata sio rahisi hivyo walinitafuta wenyewe.
Fanya uende mkuu wakikupigia jua mambo tyrMie mkuu nimejisajili hata week tatu sina wamenpigia kuniuliza ka nshafanya interview sijui kuna mchongo ila wameniambia niende j3,
Kada engineering
HabariSasa wengine wanaombwa kufanya interview kwa simu maswali mawili tu wenyewe wanakuwa wamechoka unachukua max zako za bure pasi yakutokujua uko na nondo pembeni yako unasoma tu
Nisaidie website zao Kama hutojali nitashukuruTaesa saiz Wana online portal ambayo kila kitu unakamilisha mtandaoni
Google taesaHabari
Samahani Kama una namba zao naomba na website zao Ni zipi nisaidie