cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Helloe uliitwa uko taesa?Miez mitatu iliyopita nilifanya registration taesa, up to now sijapata feedback yoyote wao wanadai nafasi ikipatkana watapiga simu, asa kupata hyo chance ya kupigiwa wakat wahtaj ni wengi ndo msala😆😆