Nahitaji system ya Microfinance

Nahitaji system ya Microfinance

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Habari Wakuu!
Nahitaji system ya kununua kwa ajili ya kutumia kwenye kampuni ya mkopo.
Ya kununua moja kwa moja sio kulipia kwa mwezi.Tuwasiliane basi PM iko wazi.
 
Tumeleta peloo.app unaweza ijaribu kama itakidhi mahitaji yako
 
Back
Top Bottom