Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,508
- 108,887
Nahitaji mtu au kampuni inayotengeza matofari ya hydroform mjini Dodoma ili tufanye biashara.
Kwa anayefahamu pia si vibaya kutowa maelekezo hapahapa kwa Dodoma niende maeneo gani na pia kama kuna contact ni jambo jema zaidi.
Karibuni.
Kwa anayefahamu pia si vibaya kutowa maelekezo hapahapa kwa Dodoma niende maeneo gani na pia kama kuna contact ni jambo jema zaidi.
Karibuni.