Nahitaji Street Sales & Marketing Officers

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Habari Tanzania!
Natafuta watu wa Sales & Marketing ( Unlimited ).
Nahitaji wakazi wa Dar as Salaam tu.
Sifa
1. Ujue mitaa (maeneo) ya mkoa tajwa.
2. Umri: 18-35.
3. Jinsia: Me & Ke.
4. Elimu: Kidato cha NNE na kuendelea.
5. Uwe na smart phone.
6. Uwe tayari kufanya kazi kwa shinikizo.
7. Uwe na uwezo wa kufanya kazi online 24/7.
8. Uwe mbunifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kikamilifu.

Malipo
Tunalipa kwa commission. Walio na tayari na wenye sifa tajwa wanakaribishwa.
Mfumo wa maombi. Tuma taarifa zako kama ifuatavyo;
1. Jina kamili:
2. Umri:
3. Unapoishi (mtaa, kata & wilaya):
4. Jinsia:
5. Elimu:
6. Namba ya simu (what's app).
Kwenda namba +255 766 466 892.
Tuma SMS tu. Vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Yaani hii kazi ni nzuri, haichoshi na ni mpya kwa nchi ya Tanzania. Tunabadilisha Taifa kuwa la kisasa katika kutoa huduma na bidhaa zenye ubora.
Karibuni.
 
dah nawaoneaga huruma sana hawa jamaa wanazurura balaa mitaani halafu wanaongea kama cherahani,miguu imejaa vumbi.
* street sales
*6.uwe tayari kufanya kazi kwa shinikizo
 
dah nawaoneaga huruma sana hawa jamaa wanazurura balaa mitaani halafu wanaongea kama cherahani,miguu imejaa vumbi.
* street sales
*6.uwe tayari kufanya kazi kwa shinikizo
Kazi ni Online. Unapewa task mahali ulipo unaiwakilisha online kwa utaratibu wa kampuni. Sisi tunauza bidhaa na huduma physical ila kwa kutumia Online System.
 
Hujue mtandaoni kuna mambo ya kikushi sana so, labda ungesema mnapatikana wapi mtu aje DIRECT


"serious"
Umeuliza vizuri. Ofisi zetu zipo Mwanza pekee. Isipokuwa tunafanya kazi mikoa zaidi ya mitano (5).
Hatufikirii kuwa na Physical Office Dar kwa sasa isipokuwa tutakuwa na Sales and Marketing Officers tu.
Hii ni kutokana na mipango na utaratibu wa kampuni.
 
Uzuri wa hii kazi utaifanya mtaa au kata au wilaya unayoishi wewe. Tukiamini utafanya vizuri katika eneo unaloishi na kujua sifa za wakazi husika kiuchumi na kiuhitaji.
Tutakulipia gharama za utendaji kazi zako ila lazima uwe pressurized na kazi yetu.
 
Umeuliza vizuri. Ofisi zetu zipo Mwanza pekee. Isipokuwa tunafanya kazi mikoa zaidi ya mitano (5).
Hatufikirii kuwa na Physical Office Dar kwa sasa isipokuwa tutakuwa na Sales and Marketing Officers tu.
Hii ni kutokana na mipango na utaratibu wa kampuni.
sasa mtu hakituma hivyo vigezo na yupo dar inakuwaje hapo mzee

"serious"
 
hii itakuwa bidhaa mpya , ila style ya foreverliving product
Sisi ni kampuni ya kitanzania. Tupo Tanzania na tunatoa huduma kwa watanzania na dunia kwa ujumla. Tunafanya production katika manufacturing, clothing line & agricultural. Pia tuna supplies home base equipments for rural areas).
Nina imani umejibiwa vyema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom