Haipo kulingana na maelezo yako mkuu acha waje wanaozijua
Mkuu, usiyafatilie sana.. una ndoto nyingi kama kijana mwenzangu, nakusihi acha, utajinyonga kaka
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu si kila unachokiona na kukiskia ukatoa conclusion ,hii si kwa ajiri ya personal interest,is for my organization interest!Mapenz mabaya mapenz mabaya
Yaan wakat wengne tunaumiza vichwa tuongeze investments nyingne zaid
Wengne wanafatilia mapenz
Yaani uende TCRA na number ya simu alafu wakupe tu location ya mtuSoftware mbona zipo nyingi sana ila ni mpaka uweke mwenyewe kwenye simu husika ila Kama huwezi we Nenda tcra tu ukaombe mawasiliano yake we nenda na namba yake ya simu tu.
Naomba ruhusa niufanyie LAMINATION huu ushauri wako.Mkuu, usiyafatilie sana.. una ndoto nyingi kama kijana mwenzangu, nakusihi acha, utajinyonga kaka
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Wakati nasoma, kuna janki mmoja chuo alifanya haya mambo whatsapp ya demu wake.. kwa sasa sijui atakua peponi au motoni (kama vipo kweli)Naomba ruhusa niufanyie LAMINATION huu ushauri wako.
Nimekuelewa vizur mkuuHakuna mtu mtu yoyote mwenye access na IMEI/Phone number + location za watu isipokua:
1. Network Providers ambao kisheria hawawezi kutoa hzo data kwa mtu yoyote isipokua chombo husika cha mawasiliano (TCRA). Na hata network providers hawaoni exact location, waona tu location ya mnara uliokaribu nae
2. Mwingine mwenye access na hzo information ni mmiliki wa operating system yako. Ambao ni Google or Apple, nk. Nao wataweza kujua location ikiwa tu mtumiaji amelink email account yake na simu hyo na pia awe amewasha location + data.
Tofauti na hapo utahitaji app iwe imekuwa installed kwenye simu ya unayemtrack na iwe inaweza kuchukua number ya simu + IMEI. Hizi nadhani ndio zipo.
Hakuna mtu mtu yoyote mwenye access na IMEI/Phone number + location za watu isipokua:
1. Network Providers ambao kisheria hawawezi kutoa hzo data kwa mtu yoyote isipokua chombo husika cha mawasiliano (TCRA). Na hata network providers hawaoni exact location, waona tu location ya mnara uliokaribu nae
2. Mwingine mwenye access na hzo information ni mmiliki wa operating system yako. Ambao ni Google or Apple, nk. Nao wataweza kujua location ikiwa tu mtumiaji amelink email account yake na simu hyo na pia awe amewasha location + data.
Tofauti na hapo utahitaji app iwe imekuwa installed kwenye simu ya unayemtrack na iwe inaweza kuchukua number ya simu + IMEI. Hizi nadhani ndio zipo