S Stv Mkn JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 328 Reaction score 275 Nov 23, 2014 #1 Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm.
Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm.
Tayo zeboss JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 467 Reaction score 196 Nov 23, 2014 #2 Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Mkuu npe laki nikupe yxtel G009 Attachments 1416750079382.jpg 11.6 KB · Views: 189
Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Mkuu npe laki nikupe yxtel G009
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,483 Nov 23, 2014 #3 Huyajui maduka aisee, ukiona unanunua simu kwa mtu ujue hiyo ni mbovu. sijawahi kununua simu mbovu tangu nianze kutumia simu maisha yangu.
Huyajui maduka aisee, ukiona unanunua simu kwa mtu ujue hiyo ni mbovu. sijawahi kununua simu mbovu tangu nianze kutumia simu maisha yangu.
S Stv Mkn JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 328 Reaction score 275 Nov 23, 2014 Thread starter #4 Tayo zeboss said: Mkuu npe laki nikupe yxtel G009 Click to expand... Hii hapana ndugu yangu ipo kichina sana.....ningepata huawei Samsung au HTC ingependeza zaidi
Tayo zeboss said: Mkuu npe laki nikupe yxtel G009 Click to expand... Hii hapana ndugu yangu ipo kichina sana.....ningepata huawei Samsung au HTC ingependeza zaidi
S Stv Mkn JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 328 Reaction score 275 Nov 23, 2014 Thread starter #5 Hute said: huyajui maduka aisee, ukiona unanunua simu kwa mtu ujue hiyo ni mbovu. sijawahi kununua simu mbovu tangu nianze kutumia simu maisha yangu. Click to expand... Naitaji simu ya fasta kiongozi niweze kuzugia wakati najipanga kununua simu kubwa ss kwa hiyo bajet yangu dukani si nitapata kitochi
Hute said: huyajui maduka aisee, ukiona unanunua simu kwa mtu ujue hiyo ni mbovu. sijawahi kununua simu mbovu tangu nianze kutumia simu maisha yangu. Click to expand... Naitaji simu ya fasta kiongozi niweze kuzugia wakati najipanga kununua simu kubwa ss kwa hiyo bajet yangu dukani si nitapata kitochi
B bizplan JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 592 Reaction score 574 Nov 23, 2014 #6 Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Nakupa huawei y300, ipo poa haina shida kbs, 120,000 tsh ktk box lake, hear phone, charger na manual yake. 0754237973 kama simu haitakuwa hewani tuma email emicoltd80@gmail.com Inatumia laini zote.
Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Nakupa huawei y300, ipo poa haina shida kbs, 120,000 tsh ktk box lake, hear phone, charger na manual yake. 0754237973 kama simu haitakuwa hewani tuma email emicoltd80@gmail.com Inatumia laini zote.
B bizplan JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 592 Reaction score 574 Nov 23, 2014 #7 bizplan said: Nakupa huawei y300, ipo poa haina shida kbs, 120,000 tsh ktk box lake, hear phone, charger na manual yake. 0754237973 kama simu haitakuwa hewani tuma email emicoltd80@gmail.com Inatumia laini zote. Click to expand... Karibu...
bizplan said: Nakupa huawei y300, ipo poa haina shida kbs, 120,000 tsh ktk box lake, hear phone, charger na manual yake. 0754237973 kama simu haitakuwa hewani tuma email emicoltd80@gmail.com Inatumia laini zote. Click to expand... Karibu...
Kottler Masoko Senior Member Joined May 28, 2010 Posts 193 Reaction score 28 Nov 23, 2014 #8 Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Nina blacberry bold9790 check me 0787736765
Stv Mkn said: Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo. Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako. Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane. Nipo Dsm. Click to expand... Nina blacberry bold9790 check me 0787736765
E E.A.MWAKYUSA Member Joined Nov 7, 2014 Posts 65 Reaction score 4 Nov 23, 2014 #9 Nina galaxy s3 lkn nataka laki 3 bei ya mwisho nicheki 0765791233