Thanks sana kaka na nimewasiliana nao na wanaleta mawazo ya lipia sasa asilimia flani na mzigo ukifika unamalizia. Haya mambo naogopa yasije tokea mambo ya Kelvin (Tapeli) alietapeli hapa Jf kwa kisingizio toa asilimia flani sasa hivi na nyingine baadae