Nahitaji sindano za kushonea mazulia

Nahitaji sindano za kushonea mazulia

occipito-frontalis

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
134
Reaction score
71
Habari wana JF, naweza kupata wapi sindano za kushonea mazulia hapa Dar es salaam, nahitaji msaada wenu bandugu.
 
Ulizia kwenye maduka ya jumla ya uzi

Mie nayatafuta yale makapeti yanayoshonewa mazulia
 
Habari wana JF, naweza kupata wapi sindano za kushonea mazulia hapa Dar es salaam, nahitaji msaada wenu bandugu.
Cheki na hao jamaa utazipata kwa Bei rahisi sanaView attachment 976180View attachment 976181
Screenshot_20181224-170958.jpeg
 
Back
Top Bottom